Countdown header img desk

MAI SUNT 00:00:00:00

MAI SUNT

X

Countdown header img  mob

MAI SUNT 00:00:00:00

MAI SUNT

X

Uandishi Katika Kiswahili

Uandishi Katika Kiswahili - Elizabeth Godwin Mahenge

Uandishi Katika Kiswahili

Mwandishi wa kitabu hiki ni Elizabeth Godwin Mahenge. Yeye ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga, Wilaya ya Handeni (wakati huo ikijulikana kama Songe). Alizaliwa mwaka 1978. Alisoma Shule ya Msingi Chanika iliyopo Wilayani Handeni. Elimu ya sekondari aliipata katika Shule ya Sekondari Handeni iliyopo Handeni. Elimu ya sekondari ya juu aliipata katika Shule ya Sekondari Mawenzi iliyopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro. Shahada ya kwanza na ya pili ameipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania. Shahada ya kwanza alisomea B.A (Education) Kiswahili and Fine, Performing Art; na shahada ya pili ilikuwa M.A Linguistics. Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu katika Taasisi ya Taaluma za Kiswahili akizamia katika mada ya 'FASIHI YA KISWAHILI NA ULEMAVU'.
Citeste mai mult

-10%

PRP: 46.50 Lei

!

Acesta este Pretul Recomandat de Producator. Pretul de vanzare al produsului este afisat mai jos.

41.85Lei

41.85Lei

46.50 Lei

Primesti 41 puncte

Important icon msg

Primesti puncte de fidelitate dupa fiecare comanda! 100 puncte de fidelitate reprezinta 1 leu. Foloseste-le la viitoarele achizitii!

Livrare in 2-4 saptamani

Descrierea produsului

Mwandishi wa kitabu hiki ni Elizabeth Godwin Mahenge. Yeye ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga, Wilaya ya Handeni (wakati huo ikijulikana kama Songe). Alizaliwa mwaka 1978. Alisoma Shule ya Msingi Chanika iliyopo Wilayani Handeni. Elimu ya sekondari aliipata katika Shule ya Sekondari Handeni iliyopo Handeni. Elimu ya sekondari ya juu aliipata katika Shule ya Sekondari Mawenzi iliyopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro. Shahada ya kwanza na ya pili ameipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania. Shahada ya kwanza alisomea B.A (Education) Kiswahili and Fine, Performing Art; na shahada ya pili ilikuwa M.A Linguistics. Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu katika Taasisi ya Taaluma za Kiswahili akizamia katika mada ya 'FASIHI YA KISWAHILI NA ULEMAVU'.
Citeste mai mult

S-ar putea sa-ti placa si

Parerea ta e inspiratie pentru comunitatea Libris!

Istoricul tau de navigare

Acum se comanda

Noi suntem despre carti, si la fel este si

Newsletter-ul nostru.

Aboneaza-te la vestile literare si primesti un cupon de -10% pentru viitoarea ta comanda!

*Reducerea aplicata prin cupon nu se cumuleaza, ci se aplica reducerea cea mai mare.

Ma abonez image one
Ma abonez image one